Cyrill Kamikaze shared a link.
Hivi ndivyo wimbo wangu wa UTAMU WA CHOCOLOTE unavyo fanya vizuri kwenye chat za radio mbali mbali hapa Tanzania ...
victoria fm musoma - top 10 iko namba 3
safari fm mtwara - top 20 iko namba 6.
jogoo fm songea top ten iko namba 5.
Ruangwa fm lindi top 20 iko namba 8.
chuchu fm zanzibar top 25 za east africa iko namba 18..
Highland fm mbeya top 20 iko namba 13 ..
pride fm mtwara top 20 iko 12
na bado inaendelea kupanda na pia naendelea kukusanya taarifa za sehemu nyingine.. BIG UP TO all the fans out there..
Report by BONGO5.
Once Again WAKACHA #1 SWAGG
- #1. JUX VUITTON kutoka WAKACHA.
- #2. HEMEDI PHD.
- #3. CYRILL KAMIKAZE kutoka WAKACHA.
- #4. BOB JUNIOR.
- #5. GELLY WA RHYMES.
- #6. IZZO BUSINESS.
- #7. DIAMOND PLATNUMZ.
No comments:
Post a Comment